Saturday, 30 April 2016

Mengi yalioandikwa kuhuhusu Morinyo


Bado headlines za kocha wa sasa wa Man united  Luois Van Gaal kutimuliwa ndan ya Man united na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa zamani wa Chelsea Jose Morinyo, zinazidi kuchukua Headlines.Huu ni mtihani sana na majibu yake Yatajulikana mwisho wa msimu baada ligi kuisha

No comments:

Post a Comment