Saturday, 30 April 2016

Breaking news Abiria wanusurika na ajali ya ndege hii leo mjini Bukoba

Watu kadhaa wanusurika baada ya shirika la ndege Auric Air waliokuwa wakisafiria kupata ajali katika uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba.  Ndege hio ilipata pancha tayair ya nyuma upande wa kulia ilipo kuwa inatuwa , kwa umahir wa rubani ameweza kuicontrow kama unavyo ona kwenye picha. Ndege hio ilikuwa ikisafiri toka jiji mwanza tukio hilo limetokea leoo majira ya saa4 asubuh April 30-2016


No comments:

Post a Comment